HABARI MATUKIO UFUNGUZI WA CRDB BANK NCHINI BURUNDI.
Tawi la Benki ya CRDB Mjini Bujumbura nchini Burundi.
Rais wa Burundi Piere
Nkurunziza akiwasili katika sherehe za ufunguzi rasmi wa Benki ya CRDB
jijini Bujumbura, Burundi. Benki ya CRDB imekuwa Benki ya kwanza ya
kizalendo kufungua tawi lake nchini Burundi.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dkt. Charles Kimei akizungumza na Balozi wa Tanzania Nchini Burundi Dkt. James Nzagi (Kushoto) na Katibu wa Benki hiyo Bwana John Rugambo(wa pili kushoto) na Meneja Mkuu wa Benki ya CRDB Nchini Burundi Bw. Bruce Mwile.
Rais wa Burundi Mheshimiwa Piere Nkurunziza akikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa Benki ya CRDB nchini Burundi. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dkt.Charles Kimei
Rais wa Burundi Mheshimiwa Piere Nkurunziza akisalimiana na Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti wa Benki ya CRDB Tully Esther Mwambapa alipokuwa akiwasili katika sherehe hizo.
Wafanyakazi wa Benki ya CRDB nchini Burundi wakiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wenzao kutoka Dar es Salaam.
Mwamuziki maarufu wa Burundi Nimbona Jean Pierre”KIDUMU” akitumbuiza kwenye hafla hiyo.