Bukobawadau

HOJA YA LEO; Mtoto umempatia malezi mema, umejinyima na kuhakikisha anapata elimu iliyo bora na leo hii ana miaka 20, unajivunia! Je, utakuwa tayari kumpa talaka mama wa mtoto pamoja na kujitenga kabisa na mtoto huyu kwa sababu tu majibu ya "DNA Test" (ambayo yanaweza kuwa yamekosewa) yanaonyesha kuwa baba mzazi wa mtoto si wewe?

Next Post Previous Post
Bukobawadau