KJIJINI KANAZI JIONI YA LEO 31.12.2012 SHUGHULI YA MAZISHI YA MAREHEMU LAVIOUS SABINIOUS.A.KALEMERA
Muonekano wa sehemu ya maegesho msibani hapo
Muda mchache baada ya shughuli ya mazishi ya Marehemu Lavidius Kalemera kukamilika.
Hivi ndivyo wananchi wakazi wa Kijiji cha Kanazi walivyoshiriki katika mazishi haya.
Wanaonekana ndugu wa Marehemu katika hali ya simanzi.
Muonekano wa kaburi la Marehemu Lavous Sabinious.A. Kalemera 27.12.1947-17.12.2012
Mama Mjane wa Marehemu akiwa katika hali ngumu ya majonzi.
Mtoto wa Marehemu akitoa neno la shukrani kwa wadau wote walioweza kushiriki katika msiba huu kuanzia nchini Marekani alipokua kimaisha Marehemu Lavidius mpaka kufikia hatua hii ya mazishi yaliyofanya nyumbani kwake kijijini Kanazi.
Wadau mbalimbali wakiendelea kumfariji Mjane wa Marehemu.
Baadhi ya wanandugu na wanafamilia waliofikwa na msiba huu.
Sehemu ya wadau wakiendelea kuwafariji wafiwa .
BUKOBAWADAU BLOG TUNATOA POLE KWA NDUGU JAMAA NA MARAFIKI KWA KUONDOKEWA NA JAMAA YAO MAREHEMU LAVIDIUS SABINIOUS ,MWENYEZI MUNGU AILAZE ROHO YAKE PAHALI PEMA PEPONI....!!