MAMIA WASHIRIKI MAZISHI YA MAREHEMU DAUDI M. BIGIRENYEMA (BIKOPO) 1926-2012A
Mamia kwa mamia wamejitokeza kumzika Marehemu Daudi M. Bigirenyema marufu kwa jina la Bikopo aliyefariki siku ya Tarehe 12.12.2012 kwa ajali ya kugongwa na gari.Marehemu amefariki akiwa na umri wa Miaka 87.
Picha ya Marehemu Daudi Bikopo
Msalaba ukiwekwa kaburini.
Heshima ya kuweka Mashada ya maua imeanza na Mashangazi wa Marehemu.
Muakilishi kutoka Karagwekatika shughuli za mmoja wa watoto wa Marehemu Mr . Ruge.
Tukio la kutoa heshima kwa Marehemu linaendelea...hakika watu ni wengi , na uwezo wa kuonyesha kila kitu na kila mtu aliyeshiriki ni vigumu.
Mmoja wa wajukuu wa Marehemu.
Wakwe katika familia wamewakilishwa na Mzee Felician Mutta.
Mmoja wa Wajane wa Marehemu Mzee Daudi akiweka Shada la Maua Kaburini.
Likafuatia na hili la bendera ya Chama,.
Mwakilishi wa wafanyakazi wa Kampuni ya Benny Bazaar.
Mdau Denis Masasa anaonekana akiwa juu ya mti.
Mmmoja wa Maaskofu akiwakilisha viongozi wa dini.
Ndg Benny mtoto wa Marehemu kwa pamoja na mke wake wakiweka shada la maua
Sehemu ya wanafamilia wakishiriki mazishi
Muonekano wa Kaburi.
Baada ya mazishi ,ikafuatia kuwatoa wafiwa kaburini kwa mapambio ya nyimbo za dini
Viongozi mbalimbali wa Dini na Maaskofu wa KILUTHERI wameshiriki kikamilifu mazishi haya
Camera yetu ikiangaza uku na kule
Bi Rosemary Visram mmoja wa wadau waliohudhulia mazishi haya.
Taswira ya mahudhulio
Picha ya Marehemu Daudi Bikopo
Msalaba ukiwekwa kaburini.
Heshima ya kuweka Mashada ya maua imeanza na Mashangazi wa Marehemu.
Muakilishi kutoka Karagwekatika shughuli za mmoja wa watoto wa Marehemu Mr . Ruge.
Mdau Byamungu yeye ni kama rafiki mkubwa wa familia.
Wadau mbalimbali walioshiriki mazishi haya ya Marehemu Daudi Bigirenyema(Bikopo)Mzaliwa wa Kibeta (Amjuju))Tukio la kutoa heshima kwa Marehemu linaendelea...hakika watu ni wengi , na uwezo wa kuonyesha kila kitu na kila mtu aliyeshiriki ni vigumu.
Mmoja wa wajukuu wa Marehemu.
Wakwe katika familia wamewakilishwa na Mzee Felician Mutta.
Mmoja wa Wajane wa Marehemu Mzee Daudi akiweka Shada la Maua Kaburini.
Likafuatia na hili la bendera ya Chama,.
Mwakilishi wa wafanyakazi wa Kampuni ya Benny Bazaar.
Mdau Denis Masasa anaonekana akiwa juu ya mti.
Mmmoja wa Maaskofu akiwakilisha viongozi wa dini.
Ndg Benny mtoto wa Marehemu kwa pamoja na mke wake wakiweka shada la maua
Sehemu ya wanafamilia wakishiriki mazishi
Muonekano wa Kaburi.
Baada ya mazishi ,ikafuatia kuwatoa wafiwa kaburini kwa mapambio ya nyimbo za dini
Viongozi mbalimbali wa Dini na Maaskofu wa KILUTHERI wameshiriki kikamilifu mazishi haya
Camera yetu ikiangaza uku na kule
Bi Rosemary Visram mmoja wa wadau waliohudhulia mazishi haya.
Taswira ya mahudhulio
MWENYEZI MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MZEE DAUDI M. BIGIRENYEMA MAHALI PEMA PEPONI AMENI!!