Bukobawadau

MATUKIO KATIKA HARUSI YA BW JUSTUS TILUWA NA BI ADVERA MUKULASI

 Muonekano wa maharusi wetu BwJustus Tiluwa na Bi Advera Mukulasi.
Maharusi na wapambe wao
Maharusi wakiwa tayari kupokea zawadi kutoka kwa wazazi.
 Mama Mzazi wa Bw Justuce akiwa tayari kukabidhi zawadi zake kwa wana ndoa hawa.
 Akianza kwa kuwapongeza kwa kuweza kufanikiwa kufunga ndoa yao takatika iliyofanyika katika kanisa la Bunena.
 Bw Harusi akipokea zawadi ya Rozali kutoka kwa mama.
 Mama anaendelea kwa kukabidhi kitabu kitakatifu cha Biblia.
 Mpambe wa bwana harusi Mdau Gama anaonekana mwenye unyenyekevu mkubwa akiwa na Biblia mkononi.
 Ni fulsa kwa Baba Mzazi wa Bw Harusi kutoa nasaha zake na kukabidhi zawadi
Bwana harusi akipokea Zawadi ya Mkuki kama ishara ya Uhodari na Ujemedali....!
 Ni zawadi zenye maana kubwa kimila.
 Upande wa Bw Harusi zawadi za kimila zikiendelea.
 Nasaha kwa misingi ya muongozo ikafuatia.
 Camera ikiangaza muonekano wa mapambo ukumbini ikiwa ni kazi ya Mpambambani Mama Matungwa wa The WalkGard Hotel waliopa Mjini hapa.
 Wageni waalikwa na marafiki wakubwa wa familia wakifuatilia kile kinacho endelea kwa ukaribu
 Jamco production wakiwa wamesimama vizuri kuakikisha kila kitu kinaenda sawa
 Kushoto ni Bi Jovna, dada wa bwana harusi Mdau Justus.
 Hakika kupitia bukobawadau unaweza kuona kila kilichojili katika harusi hii iliyofanyika katika ukumbi wa Paradise Hall.
 Marafiki wa Bi Harusi wakitoa zawadai
 Mdau Bi Khadija Jamal akiwakilisha zawadi yake

 Rafiki mkubwa wa Bwana Harusi , Pichani ni Mdau Geofrey akipongezana na Bi Harusi.
 Mchakato wa kutoa zawadi na kuwapongeza Maharusi ukiendelea.
 Mdau msomaji unaweza kutushirikisha katika shughuli yako yoyote nasi tukatoa ushirikia kwa kiasi kikubwa kama hivi

Hawa ndio maharusi na wapambe wao katika utayari wa kupokea zawadi zao na pongezi kutoka kwa mapadre waliohudhulia sherehe hii.


 Pichani anaonekana Mdau Bi Khadja Kabea akitoa ushirikiano wa huduma ya chakula kwa maharusi
Wapambe wa Maharusi nao wakipata huduma ya Msosi.
 Sehemu ya wageni waalikwa ni pamoja na Mapadre kama wanavyo onekana wakipata huduma ya chakula.
 Huduma ya Chakula ikiendelea.


 Wadau pichani wamehusika kwa kiasi kikubwa kusimamia zoezi zima la Mlangoni kwa kuhakiki wageni waalikwa kikubwa ni kwamba harusi hii imefanyika kwa nguvu za maharusi wetu Bw Justus na Bi Advera pasipo kupitisha michango wala kukumbushana kwa vimessage kama tulivyozoea, Hakika wanastahili pongezi za ziada kwa kuweza kufanikisha shughuli hii.
 Washirika wakiendelea kupata Chakula chenye safi na chenye ladha.







Next Post Previous Post
Bukobawadau