MATUKIO YA HAFLA YA WANACHAMA WA LUGOYO GROUP ILIYOFANYIKA KIJIJINI GERA
Mh. Massawe akipokewa na Diwani wa Kata ya Gera Ndg Katalahya (mwenye kanzu)na Muandaaji wa hafla hii Ndg Phocas Lutinwa (katikati)
Wadau mbalimbali wakisalimiana na Mkuu wa Mkoa Mh. Massawe mara tu baada ya kuwasiri Kijijini Gera kushiriki hafla iliyo andaliwa na wanachama wa LUGOYE GROUP.
Baada ya kusaini kitabu cha Wagani anaonekana Mkuu wa Mkoa Mh. Massawe akitoalea jambo ufafanuzi kwa Mh. Diwani
Mr&Mrs Phocas wakicheck na Camera yetu.
Mdau Phocas Lutenwa akitoa salama kwa wageni waalikwa na kuwatambulisha wanaukoo.
Mkuu wa Familia Mlangira John Beneko akitoa salaam.
Mlangira Yoseph akitoa salaam na kuwakaribisha wageni.
Muendelezo wa utambulisho.
Mlangira Lugaibura.
Mwana group Ben Kataluga.
Mwenyekiti wa Lugoye akikabidhi Cheki ya shilingi milioni mbili kama mchango wa shule ya sekondari Gera.
Mh. Massawe akimkabidhi cheki hiyo Mh. Diwani na tutoa angalizo la kuakikisha usimamizi unakuwepo.
Kikundi cha wanawake wa Lugoye kinachojumuisha wanawake walioolewa Ishozi, Gera na Nshunju wanaoishi Dar es Salaam ikiwa ni jumla ya akina mama 20 ingawaje hapa wapo wachache kutokana na baadhi ya wenzao kuwa na majukumu mbalimbali,nia na majukumu yao ni kusaidiana katika shida na raha pamoja na kusaidia jamii katika kutatua matatizo mbalimbali yanayo wakumba.
Akina mama hawa walianza kwa kusaidia makundi ya watu mbalimbali wenye matatizo kama vile waathirika wa Ukimwi,watoto yatima,wanane n.k hasa walioko mkoani Dar es salaam.Lakini tangu mwaka 2010 waliona wasaidie wahitaji waliopo nyumbani na walianza kwa kutoa msaada katika shule ya sekondari ya Lugoye iliyoko kata ya Ishozi na mwaka 2011 waliweza kutoa msaada katika Dispensari ya kyelima iliyoko kata ya Ishinju.
Katikakuendeleza azma ya kusaidia nyumbani leo wanakasbidhi vitabu venye thamani ya sh. 700,000 ambavyo vi vitabu vya hesabu,biologia ,chemia,kingeleza,giografia,historia,uraia ambavyo ni nakala kadhaa kwa kila kidato,pamoja na karatasi za majaribio ya mitihani ya zamani ya NECTA na vitabu vya maswali na majibu.
Pichani anaonekana Mwalimu Mkuu akipokea Kamusi, Chaki, madaftari na peni
Kundi la LUGOYE WOMENI GROUP lenye masikani yake jijini Dar Es Salaam likiendelea kutoa zawadi kwa wanafunzi waliofanya vizuri kwa kila darasa
Mkuu wa Mkoa akikabidhi zawadi zilizotolewa na kikundi cha wanawake wa Lugoye kwa mwanafunzi aliyefanya vizuri katika masomo yake.
Mama Mzazi wa mwanafunzi aliyefanya vizuri katika mtihani wa kidadi cha tatu akipokea zawadi kwa niaba ya mwanae.
Kati ya wanafunzi watano walio weza kufanya vizuri katika mitihani yao ni mvulana mmoja tu,wengine ni wasichana.
Mkuu wa Familia ya Chief Lutinywa ,Mlangira Bohn Beneko akitoa neno kwa wanafamilia na kuwashkuru wadau wote walio hudhulia shughuli hii.
Mlangira John Beneko mwenye umri wa miaka 90 akisoma baadhi ya maneno ya kwenye Bible na kuyatolea ufafanuzi kwa kuhusisha na tukio hili.
Mdau Thomas na Mdau Willy ni sehemu ya waalikwa katika shughuli hii.
Wanachama wa LUGOYO GROUP pichani
Wanachama wa Lugoye na wake zao pichani.
Sehemu ya wana Lugoye katika picha za pamoja.
Mama mzazi wa Mdau Phocas Lutinwa kushoto
Msanii anayefanya vizuri katika game la bongo Flava,home boy SHEMELA akiwakosha mamia ya wadau kwa wimbo wake wa AFRIKA TUPENDANE.
Ikafika wasaa wa kupata chgakula, hapa sala ya chakula inahusika.
Baada ya kupata baraka za chakula kinachoendelea ni kila mdau kupata huduma ya chakula
Wadau wakiendelea kupata huduma ya chakula.
KWA SHUGHULI YOYOTE ILE MDAU MSOMAJI TUNAKUOMBA NA TUNATOA FULSA TUPATE KUSHIRIKISHWA KWA KUPEANA TAARIFA AU TUWASILIANE KUPITIA 0715 505043,0784 505045 0713 397241
Wananchi waliweza kutoamichango yao ya shule kwa kuleta bidhaa mbalimbali kwa ajili ya mnada
Mbuzi akiwa mnadani ambapo alinunuliwa kwa shilingi laki mbili
Pichani wanaoneka Mdau Grace na Mdau John ukipendwa tumia Mr &Mrs Mlay.
Ndg wa familia hawa Mdau Divo Lugaibura na Mdau Phocas Lutinwa akibadilishana mawazo.
Kushoto ni Mdau Gulam Scander kama kawaida yeye huwa ni mtu wa tathmini.
Kaka Dior Lutinwa akimkarisha Mzee Chichi
Kira mualikwa ameweza kujiachia awezavyo kama inavyo onekana katika picha

BUKOBAWADAU BLOG TUNATOA PONGEZI SANA KWA WALIMU WOTE WA SHULE YA SEKONDARI GERA KWA JUHUDU ZAO WANAZOFANYA KUHAKIKISHA SHULE INAENDELEA KUWEPO NA VIJANA WANAPATA ELIMU BORA.