Bukobawadau

MWAKA 2013 KUITWA 'WEBANGE' KWA KIHAYA

Ni mwendelezo wa majina ya kihasili ya mwaka ,ambapo kila jina huwa na maana halisi kwa kuhusishwa na matukio yaliyojili kwa  mwaka uliopo au hali halisi ya watu na maisha yao katika mchakato mzima wa kukamilisha mwaka.

Neno 'WEBANGE' inamaanisha Ongeza jitihada, jitume, zidisha upambanaji usitegemee msaada ,kwa lugha ya kitaani wanasema 'JIONGEZE WE MWENYEWE'

*Kinyumbani tunasema WEBANGE  nikwo kugamba Weyemele,Otalinda anga kugila Oti nanka alanjuna.!!

 MWENYEZI MUNGU ATUJALIE TUWEZE KUMALIZA HUU MWAKA SALAMA 'omukama singa atubeele tugil'emirembe'!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau