Bukobawadau

SOKO LA SENENE MJINI HAPA KWA SIKU YA LEO

 Hivi ndivyo linavyo onekana soko la Senene Mjini Bukoba kwa siku ya leo.
Senene ni kitoweo pekee katika Ukanda huu kinachoendelea kugusa mioyo ya watu  kwa wakati wote popoete pale na kwa kila lika
Sekeseke hili Wadau pichani  wakinunua Senene kwa kasi, wengine wanawatumia kama kitafunio ile hali  wengine wanawanunua kwa  matumizi ya Mboga majumbani kwao.
Wachuhuzi wa Senene wakiwajibika
Next Post Previous Post
Bukobawadau