UZINDUZI WA ALBUM YA KAPOTIVE STAR SINGERS- BUKOBO "YESU NI MWEMA" WAFUNIKA ILE MBAYA
Baba Askofu Method Kilaini(kulia)akitoa ushirikiano kwa Mgeni Rasmi wa Tamasha hili Ndg Thadeo Mtembei kuashiria uzinduzi rasmi wa Album ya 'Yesu ni mwema' kutoka kwa Kapotive Star Singers- Bukoba.
Mgeni Rasmi katika tamasha hili Ndg Mtembei akifungua CD yenye nyimbo za Kapotive Star Singers-Bukoba
Mgeni Rasmi akionyesha CD yenye nyimbo za Kapotive Star Singer-Bukoba mara baada ya uzinduzi
Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya tamasha hili la Uzinduzi wa album ya Kapotive Star Singers-Bukoba Ndg E. Nyambo akiongea na mamia waliojitokeza kabla ya kumkaribisha mgeni Rasmi.
Mdau Mutembei ambaye ndiye Mgeni Rasmi katika uzinduzi huu wenye lengo la kueneza neno la Mungu, kuinua waimbaji kiuchumi na kubadilisha mtazamo wa jamii kuhusu aina ya burudani zinazohitajika,akiongea kwa kugusia maana zaidi ya uzinduzi huu kwa kuwaomba wadau mbalimbali wajitokeze kukisaidia kikundi hiki ili kiweze kutoa huduma kwa jamii na ajira kwa vijana.
Ndg Mutembei kwa moyo mmoja ameweza kuchangia shilingi Milioni kumi na kuahidi kuendelea kukifadhili kikundi hiki.
Cheki ya thamani ya shilingi Milioni kumi ikikabidhiwa kwa mwenyekiti wa kamati ya maandalizi.
Baba askofu Kilaini akiendeleza zoezi la kuwachangia Kopative,kushoto ni Mdau Bi Rosemary Visram aliyetoa mchango wa shilingi Milioni moja,
Kapotive Star Singers-Bukoba wakiwa wamejipanga vyema jukwaani huku wakishangiliwa na mamia ya watu waliojitokeza katika uzinduzi wa album yao isemayo 'Yesu ni mwema'
Sehemu ya wadau waliohudhulia uzinduzi huu wa aina yake uliofanyika katika ukumbi wa Linas Night Club.
Kama inavyofahamika , kazi muhimu kuliko zote kwa mwanadamu ni kuokoa roho yake ni maneno kutoka kwa wadau wanaojishughulisha na kazi ya kueneza neno la Mungu.
Wadau wakifurahia nyimbo za Kopative Star Singers-Bikoba.
Bi Lilian na Bi Salome wakionyesha support kwa kupenda nyimbo za Nyumbani kwa lengo la kuwaendeleza wenzetu wa Kopative.
Mrs .Ishengoma Bilikwija na familia yake ni sehemu ya wadau
Wadau wakubwa wa kikundi cha Kapotive Star Singers-Bukoba,Pichani ni familia ya Dr Remmy.
Mrs. Kalikawe na familia yake wakifuatilia kinacho endelea ukumbini kwa ukaribu.
Kushoto ni Mdau Patra, Enjoy na Bi ModestaN Kibengwe.
Mama Victar na wanae wakifurahia onyesho hili kiujumla.
Vile alivyo jiachia mzee Bayona.
Mdau William Rutta akimkaribisha Muimbaji maarufu wa nyimbo za injili nchini Tanzania Chritina Shusho,tayari kwa kuupamba uzinduzi wa album mpya ya kikundi cha sanaa cha Kapotive-Bukoba.
Muonekano wa tabasamu la Malkia wa Injili aliyekamilika Idara zote Christina Shusho.
Macho ya muimbaji wa Injili Christina Shusho yakicheck Umati wa watu waliohudhulia tamasha hili la uzinduzi wa Album ya Kapotive Star Singers-Bukoba.
Badhi ya maneno machache ninayo yakumbuka wakati akiimba Msanii Christa Shusho"... babaa unapowazuru wengine naomba unikumbuke,... usinipite Yesu unapowazuru wengine naomba usinipite.”
Christina Shusho akipagawisha wapenzi wa nyimbo zake kwa kibao chake kisemacho 'Mtetezi wangu Yu hai'
....Christina Shusho
Bi Rosemary akipata baraka za Baba Askofu Kilaini.
Baba askofu Kilaini akibariki vitambaa vilivyotolewa na Fr. Anthony kama mchango wake kwa kikundi cha Kapotive ambapo vimeweza kuhuzwa kila kimoja sh.3000/= na kiasi cha sh 300,000 laki tatu kimeweza kupatikana.
Hivi ndivyo ilivyokua uzinduzi wa album ya 'YESU NI MWEMA' kutoka kikundi hiki cha KAPOTIVE STAR SINGERS-BUKOBA, kikundi ambacho tangu kimeanzishwa kimeweza kufanikiwa kutoa jumla ya album 6.ambazo ni;1.Yesu ni mwema 2.Zawadi ya Krissmass 3.Naitamani mbingu 4. Mama yetu 5. N ashukuru Mungu 6. Tuhaise Omukama (ikiwa ni mkusanyiko wa nyimbo zote za kihaya zilizo katika vol.I-V)