Bukobawadau

WADAU SAMAHANI KWA VIDEO HII - IMEBAINIKA WAKATI WA KUTOA MIMBA...WANAWAKE HUFANYISHWA NGONO ZEMBE KABLA YA KUHUDUMIWA

Ni video inayomuonesha Dr. Joshua ambaye hufanya mapenzi na wateja wake kabla ya kuwahudumia.....huwafanyisha ngono zembe kwa madai kuwa milango yao ni midoko na kwamba zoezi hilo litakwama Mbali na kuombwa penzi, zoezi hilo mara nyingi hufanyika katika mazingira ya kujificha na wanawake zaidi ya 10 hutumia vifaa vile vile.(Mbaya zaidi hata kinga huwa hazitumiki..... Baada ya taarifa hizo kusambaa, wanahabari walifika katika hospitali hiyo kwa lengo la kutegesha kamera huku wakijifanya wana mimba na wanataka kuzitoa.
 Dr. Joshua pichani
Next Post Previous Post
Bukobawadau