Bukobawadau

BUKOBA YETU HII LEO

 Camera yetu ikiangaza viunga vya mji wa bukoba mchana wa leo
Barabara ya Jamhuri mkabala na soko kuu Mjini hapa, anaonekana mdau Makubeli akijishughulisha na biashara yake ya kuuza viatu.
Hekaheka za wastani miongoni mwa wadau.
 Kuelekea Ujirani mwema .
Camera yetu ikiangaza uwanja wa Ndege Mjini hapa kuona kinacho endelea
hali ya hewa ni shwari na uwanja wa ndege upo katika hali inayolidhisha.
Safari za ndege zinaendelea kama kawaida.
Ujenzi wa uwanja unaendelea kama kawaida
Wadau wakipeana salama muda mchache baada ya Ndege ya kutua
Mdau Mahafudh Lushaka katika kuwajiba.





 Viwanja vya Bukoba Club katika hali tulivu.
 Mwananzengo pichani Asimwe Katalahiya vile anacheck na Camera yetu
Dada Asimwe ingia kati tuyaone maringo yako bingili bingili mpaka chini!!
 Mdau Said Bunduki aka Mdigital katika hili na lile ,kijana hana shaka kabisa!
 Wanandugu wakishow love hii ni kupitia mtaa kwa mdaa na Camera yetu.
Kijana Soma kama alivyokutwa na Camera yetu jioni ya leo
 Mdau Abdulrahim Kabyemela katika pozi.
 Mdau Thomas Charles na William Rutta wakifanya yao .


Next Post Previous Post
Bukobawadau