DUA YA KUINGIA KATIKA NYUMBA MPYA YA MDAU BADRU KICHWABUTA
Muonekano wa mbele wa nyumba mpya ambayo ni mali ya Mdau Badru Kichwabuta.
Mbele ya Nyumba kuna garden kubwa ya Maua sehemu ya parking ya kuweza kuingiza gari ndogo 5
Mdau msomaji unaweza kufanya yako kwa kutushirikisha katika shughuli yoyote ile na popote pale, waweza kututumia matukio ,habari au picha kupitia Email yetu bukobawadau@gmail.com au wasiliana nasi kupitia 0715 505043/0754 505043,0784 505045 au 0713 397241 pia BBM PIN 234E5DD7
Muonekano wa Sebuleni.
Swahiba mkubwa wa Mdau Badru Kichwabuta akionyesha furaha yake katika shughuli hii.
Mdau Majid akiwakaribisha wadau Ndg Amin na Ndg Kalike kukagua nyumba hii ikiwa leo ndio siku ya ufunguzi.
Muonekano wa Sebule ya kupumzika.
Bi Sauda akicheck mandhari kwa juu...
Mwana akicheck na fLASH ya Camera yetu.
Sebule ya kulia chakula kwa juu
Kuelekea Chumba vyumbani ikiwa kila chumba kimekamilika ni vyumba vitatu vilivyopo sehemu ya juu.
Moja kwa moja tunaangaza katika Chumba cha utulivu na pumziko
Kitanda kilichopo chumba cha 'master'
Ndani ya masterbedroom
Sehemu ya Choo
Maswala ya Jakuzi yanahusika.
Nakutana na picha ya familia ya Mdau Majid na kaka yake Mdau Badru
Mdau wetu wa nguvu hakhimu Kichwabuta akiwa ametulia na Mdau Jamal
Dua ya ufunguzi wa nyumba hii imeongozwa na Sheikh wa Wilaya ya Bukoba Mjini Sheikh Haruna Kichwabuta pichani kulia, na kushoto ni Sheikh Idrisa.
Mr Jamal na Mkewe Bi Jamila.
Mwalimu Anath ni mmoja wa waalikwa.
Mdau Chimbuko lake Katoma kushoto ni Ndg Yakubu.
Kushoto ni Mdau Uncle Khalid.
Mdau Badru Kichwabuta mwenye Nyumba hii akiteta jambo na Mdau Bandari.
Sehemu ya waalikwa pichani ni Mdau Hamis na Mdau Sunday
Mzee Philbart Nyerere kushoto na Mdau Saloom al-saqry (mawingu)
Msosi ukiendelea na kubadilishana mawazo kama wanavyo onekana pembeni Mdau Haji Habuba Sued na Mdau Kazinja aka(waukweli)
Wadau waalikwa wakishushia fanta baada ya kupata msosi.
Sehemu ya waalikwa na wenyeji wakipata Chai kwa pamoja.
Kushoto ni mama mwenye nyumba Bi Jannifer Mrungi Badru akipokea pongezi kutokea kwa Mama Mlima.
Kingine cha ziada kupitia Bukobawadau unaweza kupata fulsa ya kmuona yeyeto yule uliyepotezana nae kwa muda flani, kama anavyo onekana pichani (kulia)Bi Happy Mlima akicheck na Camera yetu.
Familia ya Mr&Mrs Badru Kichwabuta.
Wadau wengine wanazidi kuendelea kama inavyo onekana wakiwa na mwenyeji wao Mama Sadath pichani kulia.
Upande wa akina Mama.
Huduma ya chakula ikiendelea kwa waalikwa.
Shughuli ikiendelea..
KUPITIA BUKOBAWADAU HIVI NDIVYO ILIVYOKUA SHUGHULI YA DUA YA KUINGIA NYUMBA MPYA YA MDAU BADRU KICHWABUTA ILIYOPO MAENEO YA NYAMKAZI MJINI BUKONA.

KUPATA MATUKIO ZAIDI KUMBUKA KUGONGA NENO OLDER POST UPANDE WAKO WA KULIA MWISHONI MWA PAGE