HAPPY BIRTHDAY KWAKO MDAU MAMA FORTUNATHA MATAMBULA
Muonekano wa Keki maalumu iliyoandaliwa na watoto wa familia ya Mdau Mr &Mrs Matambula ikiwa mezani tayari,ni katika kumtakia mama yao mpendwa Mama Fortunatha heri ya kutimizamiaka 50 ya kuzaliwa kama inavyo onekana pichani
Ni sherehe ya kutimiza miaka 50 ya kuzaliwa kwa Mdau Mama Fortunatha Matambula(Mama Gody)wa Keko Chang'ombe inayoendelea kufanyika usiku wa leo 19/01/2013.Pichani anaonekana Mama Matambula akimrisha Keki Mme wake Mdau Gosbert Matambula.
Kama kawaida Mdau Mr Gosbert Matambula naye anamrisha Keki ya kumbukumbu ya kuzaliwa mke wake.
Hakika inapendeza , ushoto ni mshereheshaji mahiri wa shughuli hii akifuatilia kinacho endelea.
Mdau Gody akirishwa keki na mama yake.
Bi Space akitoa ushirikiano kwa Mama Fortunath katika zoezi zima la kufungua Champagne.
Mama Fortunatha akifungua champagne
Champagne ikiwa tayari imefunguliwa .
Baada ya Mama Fortunatha kummiminia Champagne mmewe sasa ni zamu ya kijana wake mkubwa katika familia.
Cheers kwa pamoja!
Wadau walioudhulia wakishirikishwa kikamilifu kwa kila tukio
Naam !
Sehemu ya waalikwa na wanafamilia wakicheck na Camera yetu.
Sala ya chakula ikiendelea muda mchache kabla ya waalikwa kupata msosi
Kinacho endelea ni huduma ya Msosi(Ekitoke nikishemela ne Ensolo)
Huduma ya chakula
Wasiliana na bukobawadau katika kutushirikisha kwa tukio au shughuli yoyote ile kupitia simu namba 0715 505043/0754 505043 na kwa habari za kiundani na kiutafiti tutumie kupitia email yetu bukobawadau@gmail.com
Mzee Matambula akiwa na mwanae
Muonekano mzuri wa picha za ukutana unanifanya kuhoji na kugundua kuwa Mr Matambula amewahi kuwa mtumishi wa Jeshi.
Moja kati ya picha iliyonivutia ni hii ya kumbukumbu ya ndoa na sasa wametimiza miaka 33 ya ndoa yao.
BUKOBAWADAU BLOG TUNAMTAKIA HERI BI FORTUNATHA MATAMBULA KATIKA SHEREHE YAKE YA KUZALIWA , PIA TUNAMTAKIA MAISHA MAREFU YENYE FURAHA, AMANI NA MAFANIKIO.