Bukobawadau

KEMONDO YETU HII LEO

Asubuhi ya leo Camera yetu ikiangaza katika Mji wa Kemondo uliopo Wilaya ya Bukoba Vijijini.
 Muonekano wa Soko la Samaki Mjini hapa kwa asubuhi ya leo.
 Ujenzi wa soko jipya ukiendelea chini ya Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba Vijijini.Ujenzi wa  soko hili unaendelea katika eneo ambalo zamani lilimilikiwa na Tan road eneo maarufu kwa jina la UJENZI.
 Eneo la Ujenzi wa Soko jipya Mjini Kemondo Wilaya ya Bukoba Vijijini.
Godawn muhimu na la kujivunia linalo milikiwa na chama cha ushirika mkoa wa Kagera KCU (1990)LTD.

 Wauzaji na wasambazaji maarufu wa VOCHA katika mji huu wa Kemondo.
 Mjini Kemondo muonekano wa Jengo la ghorofa linalo milikiwa na mfanya biashara maarufu wa Samaki Mzee Hamdani Suleimani.
 Hekaheka za wadau zikiendelea.
 Mitaa mbalimbali ya Kemondo,eneo hili la kibiashara lilitamba sana mwanzo mwa 2000s likijulikana kama PR PUB kwa sasa ni Mama wawili Cafe.!!



Next Post Previous Post
Bukobawadau