MAANDAMANO YA WANAFUNZI IFM HADI WIZARA YA MAMBO YA NDANI BAADA YA WENZAO WAKIUME WAWILI KUBAKWA NA MAJAMBAZI NA KULAZWA HOSPITALI KUTOKANA NA KUKOSA ULINZI KWENYE HOSTELI,
Wanafunzi wa
Chuo Cha Uongozi wa Fedha cha jijini Dar es Salaam (IFM) wakiwa mbele
ya geti la Wizara ya Mambo ya ndani walipovamia leo majira ya saa nne na
nusu asubuhi wakiwa na madai ya kutopewa ulinzi na jeshi la polisi
kwenye makazi yao ya Hosteli za Kigamboni kutokana na kuvamiwa na
majambazi mara kwa mara. Wanafunzi hao walidai siku ya Ijumaa walifanya
kikao na jeshi hilo ili wawape ulinzi lakini suala la ajabu siku
waliyofanya kikao na Jeshi hilo ndio siku waliovamiwa wenzao wawili
wakiume na kubakwa hali iliyosababishwa wanafunzi hao kubakwa.
Majambazi hao wamekua wakidai kupewa Laptop simu na fedha kama
mwanafunzi akikataa humfanyia vitendo vya kulawiti.
"Wanafunzi wenzetu wa kiume wamelawitiwa nyinyi tumewapa taarifa siku ya ijumaa kuwa hatunaulinzi tunaibiwa hovyo vitu vyetu halafu siku hiyo hiyo unafanyika ubakaji huo"
Kamanda wa Polisi wa Kanda maalum ya Kipolisi ya jiji la Dar es Salaam Suleiman Kova akimsikiliza Rais wa Serikali ya wanafunzi ya Chuo cha IFM mara baada ya kuwasili eneo la ofisi za Wizara ya Mambo ya ndani ambapo aliwaamuru wanafunzi hao wafuatane waende hadi Kigamboni kwenye Kituo walichoripoti taarifa zao pamoja na kwenda kwenye Hosteli zao. Kova aliahidi kushughulikia jambo hilo kwa haraka bila kusita.
Wakianza maandamano kuelekea Feri kwaajili ya kuvuka kwenda Kigamboni.
Kova akitoa maelezo kwa waandishi wa habari juu ya hatua zitakazochukuuliwa baada ya kupata taarifa hizo ambapo aliwaamuru wanafunzi hao wote kwapamoja kwenda Kigamboni kufuatilia tukio hilo kwa pamoja.
Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam Suleiman Kova akishangiliwa na Wanafunzi hao muda mfupi baada ya safari kuelekea Feri kuanza.
Sehemu ya maandamano hayo ya wanafuzi ilikua ikimba'Tunaimba! Tunavuka bure Tunavuka bure kwenye Pantoni.
Hapa wakigoma kupungua kazi iliyochukua zaidi ya Saa moja hadi kivuko kuendelea na kazi ya kuvusha abiria
Wakajazana kupita kiasi Kova akazuia kivuko kisiondoke hadi wapungue.
Pamoja na kutakiwa kupungua hapa wengine walizidi kuendelea kuingia na kukijaza kivuko hicho. Picha zote na Raha za Pwani, hii ni sehemu ya kwanza tutawaletea sehemu ya pili ya tukio hili ambalo hadi hivi sasa filamu inaendelea hapa feli na ikielekea Kigamboni.
Picha Zote na Habari na Mdau Othman Michuzi
Ulinzi uliimarishwa nje ya jengo la Wizara ya Mambo ya ndani kufuatia kadhia hiyo ya wanafunzi.
Baadhi ya
wanafunzi wakiwa kwenye mitaa ya Posta jijini humo wakielekea kwenye
kivuko cha Kigamboni ili kwenda kumuonyesha Kamanda wa Polisi wa Kanda
Maalum ya Kipolisi ya jiji la Dar es Salaam Suleiman Kova."Wanafunzi wenzetu wa kiume wamelawitiwa nyinyi tumewapa taarifa siku ya ijumaa kuwa hatunaulinzi tunaibiwa hovyo vitu vyetu halafu siku hiyo hiyo unafanyika ubakaji huo"