MADIWANI MANISPAA YA BUKOBA WATEMBEZEANA KICHAPO
Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba madiwani wawili wanaoziwakilisha kata mbili ndani ya Manispaa ya Bukoba wametembezeana mkono baada
ya kutokea mabishano katika kikao cha maadili chnyeelengo la kumshinikiza Mh. Meya Anathory Amani ajiuzuru.
Madiwani hao walio peana kichapo na kuzua taflani kubwa hadi kufikishwa kituo cha polisi ni Diwani wa Kata ya Kahororo Mh. Chief Kalumuna na Diwani wa Kata ya Nyanga Mh. Deusdedit Mtakyawa wote wa chama cha mapinduzi.
Tukio linalo endelea ni kupiga kura ya kutokuwa na imani na Meya na inasadikiwa kutokana na kura zilizopigwa nyingi ni zile zinazo mshinikiza Mh. Amani kujiuzuru hivyo ndivyo mambo yalivyo.
ENDELEA KUFUATILIA BUKOBAWADAU KWA UPDATE ZAIDI...!