Bukobawadau

MVUA KUBWA YA DAKIKA 40 JIJINI MWANZA!!

Swala zima la  miundombinu linaendelea kuonekana bado ni tatizo katika Jiji la Mwanza

Kona ya kuelekea  kilimahewa.
 Hii ndiyo hali halisi ya barabara.
Barabara ya kutokea airport yote imejaa maji kwa mvua ya dakika 40 tu njia hazipitiki
Next Post Previous Post
Bukobawadau