NYUMBA INAPANGISHWA NI MPYA INAVYUMBA VIKUBWA NA INA KILA KITU NDANI
Nyumba hii picha inapangishwa ikiwa imekamilika kwa kila kitu ndani we unakuja na nguo zako tu,ni gorofa mpya kabisa pia ina sehemu ya nyuma inayojitegemea, Ipo maeneo ya Kibeta Mjini Bukoba, barabara kuu ielekeayo Muleba.
Muonekano wa mbele wa Nyumba hii yenye vyumba 3, vitatu kwa kila sehemu Masters kubwa sebule,jiko pia eneo fensi.
Galden kuzunguka nyumba kutaka kujua lolote kuhusiana na bei wasiliana na bukobawadau au piga simu No.0754 220995/0764 989874 kwa maelezo zaidi
Nyumba ipo barabarani kabisa , jirani na kibeta Club.
Sehemu ya ngazi kuelekea ghorofa
Hivi ndivyo ilivyo samani kwa ajili ya mapokezi ya wageni,(sebuleni)
Moja kwa moja unaweza kutathimini sehemu ya kulia chakula baada ya sehemu ya kuwakaribishia wageni.
Kuingia master bedroom
Choo cha master.
Chumba cha jiko la kawaida kwa sehemu ya kwanza ndani ya nyumba hii inayokodishwa.
Jikoni huenda ni mahali ambapo panadharaulika sana kwa waliowengi,sehemu hii ni chumba cha jiko la kisasa lenye sinki la maji moto na baridi,jokofu pembeni na jiko.
Muonekano huu ni sehemu ya kwanza ghorofani ikiwa inavyumba vitatu vilivyo kamilika.
Kuelekea vyumba vingine.
Choo inahusika katika picha ikiwa ni kwa matumizi ya vyumba vingine.
Bafuni.
Sehemu ya kukutana na wadau kupunga upepe na kubadilishana mawazo
Mandhali kamili wa heshima yenyewe!!!
Muonekano wa sebuleni katika sehemu ya pili ya nyumba hii.
Mandhali ya kila sehemu ni sawa na ilivyokua katika sehemu ya kwanza
Kila chumba kina mpangilio sawa wa kabati za nguo
Kitanda safi chenye godoro linalo stahili
Sehemu ya jikoni
Usawa wa jikoni kuelekea jikoni
Muonekano wa Nyumba ya nyuma inayojitegemea na ikiwa na kila kitu ndani
Vitu muhimu vilivyopo sebuleni.
Mvuto wa nyumba hii sehemu ya sebuleni.
Muonekano wa nyumba nzima ya nyuma kuanzia,Chumba Sebule,Choo, Jikoni na maeneo mengine.
Kitanda chumbani.
Camera ikiangaza sehemu ya jikoni
Kuelekea vyumba vingine viwili, katika nyumba hii,ikiwa hiki ni Chumba kimojawapo na kila chumba ni self contain..
Picha mbili zikionyesha mkato wa jengo zima likiwa ndani ya uzio/fensi isiyo ya michongoma.
Muonekano wa mbele wa Nyumba hii yenye vyumba 3, vitatu kwa kila sehemu Masters kubwa sebule,jiko pia eneo fensi.
Galden kuzunguka nyumba kutaka kujua lolote kuhusiana na bei wasiliana na bukobawadau au piga simu No.0754 220995/0764 989874 kwa maelezo zaidi
Nyumba ipo barabarani kabisa , jirani na kibeta Club.
Sehemu ya ngazi kuelekea ghorofa
Hivi ndivyo ilivyo samani kwa ajili ya mapokezi ya wageni,(sebuleni)
Moja kwa moja unaweza kutathimini sehemu ya kulia chakula baada ya sehemu ya kuwakaribishia wageni.
Kuingia master bedroom
Choo cha master.
Chumba cha jiko la kawaida kwa sehemu ya kwanza ndani ya nyumba hii inayokodishwa.
Jikoni huenda ni mahali ambapo panadharaulika sana kwa waliowengi,sehemu hii ni chumba cha jiko la kisasa lenye sinki la maji moto na baridi,jokofu pembeni na jiko.
Muonekano huu ni sehemu ya kwanza ghorofani ikiwa inavyumba vitatu vilivyo kamilika.
Kuelekea vyumba vingine.
Bafuni.
Sehemu ya kukutana na wadau kupunga upepe na kubadilishana mawazo
Mandhali kamili wa heshima yenyewe!!!
tunarudi chini sehemu ya pili
Mdau msomaji unaweza kufanya
yako kwa kutushirikisha katika shughuli yoyote ile na popote pale,
waweza kututumia matukio ,habari au picha kupitia Email yetu
bukobawadau@gmail.com au wasiliana nasi kupitia 0715 505043/0754
505043,0784 505045 au 0713 397241 pia BBM PIN 234E5DD7 Muonekano wa sebuleni katika sehemu ya pili ya nyumba hii.
Mandhali ya kila sehemu ni sawa na ilivyokua katika sehemu ya kwanza
Kila chumba kina mpangilio sawa wa kabati za nguo
Kitanda safi chenye godoro linalo stahili
Sehemu ya jikoni
Usawa wa jikoni kuelekea jikoni
Vitu muhimu vilivyopo sebuleni.
Mvuto wa nyumba hii sehemu ya sebuleni.
Muonekano wa nyumba nzima ya nyuma kuanzia,Chumba Sebule,Choo, Jikoni na maeneo mengine.
Kitanda chumbani.
Camera ikiangaza sehemu ya jikoni
Picha mbili zikionyesha mkato wa jengo zima likiwa ndani ya uzio/fensi isiyo ya michongoma.
Ndg mdau msomaji nyumba hii inakodishwa unaweza kuwasiliana na bukobawadau blog au piga simu No.0754 220995/0764 989874 kwa maelezo zaidi