PANDE ZA KIROYERA BEACH MASHINDANO YA KUSAKA VIPAJI KWA WANAFUNZI YAMEWEZA KUENDELEA TENA JUMAPILI HII
Mashindano ya kusaka vipaji kwa wanafunzi (school bash of talents) yameweza kuendelea tena kwa kujumapili hii katika fukwe za Kiroyera beach na kuudhuliwa na mamia ya mashabiki wa muziki wa kizazi kipya.
Baadhi ya wasanii wakishiriki katika mashindano haya yanayo endelea chini ya waandaji Kampuni ya The Slope Intertainment chini ya hudhamini wa ZACHWA INVESTMENT.
Sehemu ya mashabiki waliojitokeza kushuhudia mashindano haya.
Ni pembezoni mwa Ziwa Victoria eneo la Kiroyera Beach wadau wakifuatilia kwa karibu namna vijana wanavyo vunja mistari ya Bongo Flava.
Kila mdau akifuatilia kwa umakini kile kinacho endelea pande hizi za Kiroyera Beach.
Taswira ya fukwe za Kiroyera kwa jumapili hii.