Bukobawadau

SHANGWE ZA MWAKA MPYA NA BEACH PARTY PANDE FUKWENI MARUKU

 Moja baada ya nyingi ni vile wadau wanavyo endelea kula Bata pande  katika lile bonge la Get together Beach Party lililoandaliwa na wadau wa linas Night Club na kufanyika katika fukwe za Maruku.
 Wadau wakifurahia siku ya mwaka mpya kwa pamoja ufukweni Maruku.
 Watu na vivazi  vyao, hakika ni siku ya kujiachia, ni shughuli nzima iliyo simamiwa na Mdau Yusuph Wastara kwa ushirikiano wa karibu na wadau wengine wa Linas Club.
 Anaonekana Jamila,Athman,Kahabuka na mdau  jina kapuni
 Vile wanadada wanavyo show love pande za Maruku Beach
 Watu na mitumbwi kama kawaida.
Wadau walivyojipanga ikiwa hii ni Moja ya Camp inayochukua kasi kwa mitaa ya kati maarufu kama kikosi kazi.
 Inapofika wakati wa Camera kufanya kuangaza,vigezo na masharti uzingatiwa.....!!!!
 Vile mchakato wa kutoa zawadi kwa mwanadada /Sister Doo aliyechomoka na kupendeza hama kutokelezea kibeach...
 Zawadi ikitolewa na Sadath Boutique wale wakali  katika tasnia hii ya kung'arisha vilisho kama anavyo onekana Mr Whate ambaye ni SHOP MANAGER akikabidhi zawadi kwa mshindi Mdau Mgeni Idrisa.
Wanadada wakifuatilia kile kinacho endelea....
 Sehemu ya mashuhuda  yakiwatoka!
 Upande wa 'mbaga' nyomi ilikua si ya kitoto




Akina dimpos walivyo simama ,si mchezo
Shangwe shangweni,maisha ufukweni.
Misosi, michomo hakika si tatizo  kabisa




Wana wakicheck na flash ya mwanalibeneke mahiri.
MUONEKANO WA MBALI WA MARUKU BEACH HAKIKA NI SEHEMU TULIVU KABISA.
 Kushoto ni Tahya na Bi Neema wakipata madikodiko wakati party likiendelea.
Razack  na Man Sunday (chadogi)

KUPATA MATUKIO ZAIDI YA MUDA MFUPI KUMBUKA KUPITIA OLDER POST .
Next Post Previous Post
Bukobawadau