SOKO LA SAMAKI KEMONDO BUKOBA VIJIJINI HII LEO
Soko la kuuza Samaki hii leo Mjini Kemondo,Wilaya ya bukoba vijijini,anaonekana mfanyabiashara akionyesha samaki aina ya sato anayemuuza kwa bei ya sh.15000/=
Bei ya samaki hivi sasa ipo juu baada ya kukua kwa Soko la samaki katika Nchi za Ulaya,Mdau Siraji Majura kutoka kemondo anajuza kua samaki aina ya Sangara pichani wanauzwa kiasi cha sh 10000/=kila mmoja mkubwa.