BUKOBA YETU HII LEO FEB,5,2013
Camera yetu Mjini Bukoba leo tarehe 5.2.2013,Asubuhi hali ya manyunyu mvua ilijitokeza na kufuatia na ya Jua kwa masaa ya mbele.
Muonekano wa Mghahawa wa Rose Cafe
Wanaonekana wadau pichani Ndg Murshid na Ndg Optaty Henry.
Jamhuri ya Jamhuri, maeneo ya duka la Parma.
Bi Lilian Peter Mwise wa Tigo katika kuwajibika.
Bi Rukia mwingi wa bashasha, hana tatizo na mtu.
Lango kuu kuingia E.L.C.T Garage
Ofisi za ELCT Garage Bukoba
Kwa Nurshad.
Msikiti wa Wahindi, Bukoba
Jengo la Mama wa Mkombozi
Msikiti wa Jamia , Msikiti wa Ijumaa Mjini Bukoba
Barabara inayoelekea hospital kuu ya Mkoa.