Bukobawadau

CAMERA YETU MUDA MCHACHE ENEO LA SHAURI MOYO ILALA

 Ni ajali ya Gari na pikipiki  iliyotokea muda mchache eneo la shauri moyo Ilala jijini Dar es Salaam.Pichani anaonekana Dereva wa pikipiki akiwa kakalishwa chini.

 Anaonekana Dereva wa pikipiki iliyopata ajali akiwa mikoni mwa dereva wa Gari lililo gongwa lenye nambari T 855 AWW.
Umakini unatakiwa kwa waendesha pikipiki.
Next Post Previous Post
Bukobawadau