Bukobawadau

HAPA NA PALE NA CAMERA YETU

Mwadada  Mgeni Idrisa na home boy Ash Amasha (kashai line), sehemu ya vijana wanaochukua kasi kimjini hapa wakishow love.
 Ikiwa ni mwanzo wa Weekend ,hivi ndivyo ina happen ndani ya kisima cha burudani
 Mwendelezo wa shangwe ndani ya kisima cha burudani Mjini hapa LINA'S NIGHT CLUB.
 Tunako elekea..ndiko walipo


Next Post Previous Post
Bukobawadau