Bukobawadau

IJUMAA HII NDANI YA EAST 24 BAR&GRILL MIKOCHENI DAR ES SALAA

Msanii Banana Zorro akishirikiana na Banana Band wanakuletea bonge la show kila siku za Ijumaa; ndani East 24 Bar & Grill (sehemu ya wastaarabu) waliopo Arcade House, Old bagamoyo ambayo kwa sasa ni Mwai Kibaki road, Mikocheni ngambo kidogo na Feza Nursery
  Wadau nyote mnafahamishwa na mnakaribisha katika usiku wa Banana Zorro & B. Band's Chini ya Udhamini wa Windhoek  Lager na Climax kinywaji safi kisicho na kilevi.
Next Post Previous Post
Bukobawadau