Bukobawadau

KAPOTIVE STAR SINGERS-BUKOBA KUWASHA MOTO JIJINI DAR!!!

MDAU MSOMAJI USIKOSE ONYESHO LA AINA YAKE KUTOKA KWA KAPOTIVE STAR SINGERS BUKOBA .
Ukumbi ni Ubungo Plaza.Tarehe 31.03.2013 kuanzia saa nane mchana mpaka saa mbili usiku,KIINGILIO  ni kama ifuatavyo;Mtu mmoja sh 15,000/=,Watu wanne 50,000/=watu watano 100,000/=

Next Post Previous Post
Bukobawadau