Bukobawadau

KIKAO CHA BAJETI YA MANISPAA YA BUKOBA CHASHINDWA KUFANYIKA

 Hali ya mvutano ndani ya Manispaa ya Mji Bukoba imepelekea Kikao cha kujadili bajeti ya Manispaa ya Bukoba kilichokua kifanya hii leo 26 FEB,2013 kuhairishwa baada ya idadi ya madiwani walioudhulia  kutofikia nusu.
Madaiwani waliojitokeza ni 11 kati ya 24.
 Muonekano wa baadhi ya viti vikiwa tupu ukumbini.
 Nje ya ukumbi wa Manispaa anaonekana Mbunge wa Viti Maalmu Bernadetha Mushashu (CCM)akiteta  jambo na diwani wa Kahororo.
 Diwani ya kata ya kahororo Mh. Chief Kalumuna (CCM)akisalimiana namwenyekiti wa Chadema wilaya ya Bukoba mjini Ndg Sherejei nje ya ukumbi wa manispaa.

MUHIMU;BUKOBAWADAU BLOG TUNACHUKUA FULSA HII KUWAJULISHA WADAU NYOTE YA KWAMBA TUNASIKITISHWA SANA NA MTU ANAYETUMIA JINA LETU KAMA ACCOUNT YAKE  KWENYE MITANDAO MBALIMBALI YA KIJAMII KWA KUPOST NA KUTOA MAONI YAKE ,TUNAAMINI UWENDA JINA LA BUKOBAWADAU LIMEMVUTIA NA HANA LENGO BAYA DHIDI YETU,ILA TUNATOA ANGALIZO  BINAFSI HATUPENDEZWI NA MATUMIZI YA LOG YETU KWA MTU KUJINUFAISHA NA KUJITAFUTIA UMAARUFU.
Next Post Previous Post
Bukobawadau