MDAU BEN KATALUGA ANASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA MZEE WAKE 'OMLANGIRA JOHN MBONEKO' WA BUGANDIKA KILICHOTOKEA HII LEO TAREHE 26 FEB, 2013
Mazishi yatafanyika Siku ya Ijumaa tarehe 1 March,2013 nyumbani kwa Marehemu kijijini Bugandika.
Marehemu amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 90 ya kuzaliwa.
Habari hizi ziwafikie ndugu ,jamaa na marafiki wa familia.
BUKOBAWADAU BLOG TUNATOA POLE KWA WALE WOTE WALIOFIKWA NA MSIBA HUU PIA TUNAMUOMBEA MAREHEMU OMULANGIRA JOHN MBONEKO APUMZIKE KWA AMANI!!