Bukobawadau

SALAAM ZA PONGEZI KUTOKA KWA WADAU MBALIMBALI

Mdau Henry Lugakingira maarufu kwa jina la Rico anatowa pongezi kwa wana libeneke wa Bukobawadau Blog kufuatia kile anacho kiamini kuwa ni juhudi katika kuwahabarisha.
Mdau Rico akiwa ametulia masikani yake pande za Newark, New Jersey.
 Omg Amada Byabusha maarufu kama Capital A Mada B(kushoto), akiwa na wadau wengine yupoBoy Shaka wa pili kushoto, Amani na Baraka wakifanya yao katika mghahawa wa Crowne Plaza Columbus North.
Wadau katika picha ya pamoja pande za NewYork  wote (BOMUKA) yupo Rak Baraka, Elizabeth Lujwangana, Growing UpAfrican, Frank Gonga, Jackie Kamazima, Capital A Mada B, Jessica Justa Lujwangana and Felix Mutegeki.
Bi Jackie Kamazima wa pili kushoto kikubwa ametumia fulsa kuomba mawasiliano na Mdau Kamazima wa ofisi za vodacom mjini Bukoba,wengine ni Capital A Mada B, Leticia Mutabirwa, Dharar Abdussabur.
Mafans wakuwa wa libeneke la Bukobawadau  wakishow love ni Bi Lilian D Larry,Lilian Fisher na Bi Habiba Mkelo.
 Bi Habiba katika Pozi masikani kwake  uko USA pande za Houston Texas.
 Anaitwa Amina naye anaitakia kila la kheri Bukobawadau Blog.
 Ni mwanadada Lilian aka (morio Lowrence)ni mdau asiye n a tatizo na mtu.akiwakilisha kutoka pande  za Texas
 Mdau Lutemba na Mdau Tumsime Bocko
Abdul Aziz Kyamani na wadau wengine  wakicheck na Camera yetu.

Next Post Previous Post
Bukobawadau