WAJUWE NEW COFFEE TREE HOTEL BUKOBA
New Coffee Tree Hotel iliyopo Mjini Bukoba ni hotel ya kimataifa yenye kila kitu na yenye hadhi wapo barabara inayo elekea uzunguni,barabara ya Samuel Luangisa jirani na Uwanja wa Kaitaba.
Muonekano wa Jengo la hotel kwa mbele.
Huduma zao ni nzuri wamekamilika kila idara.
Pahala pazuri pakupumzikia,unaweza kuwasiliana na kupitia +255 767 026172/+255 654 785536.
Muonekano wa Jengo la hotel kwa mbele.
Huduma zao ni nzuri wamekamilika kila idara.
Pahala pazuri pakupumzikia,unaweza kuwasiliana na kupitia +255 767 026172/+255 654 785536.