Bukobawadau

Magic comeback! Barcelona 4 – 0 AC Milan

Messi baada ya kutupia bao la kwanza na la pili dk 5' na 39 mnamo kipindi cha kwanza.
 56' - Barcelona 3-0 AC MilanLionel Messi (5')Lionel Messi (39') David Villa (55')
 Unaweza kujiuliza ni vipi Messi ameweza kufanya hivi

bao la 3 likiwa limetupiwa na mwanandinga David Villa.

 Hakika mpira unadunda.
 .Hivi ndivyo Bac walivyofudhu hatua ya kuingia robo fainali kwa ushindi wa mabao manne yakiwa yametupia naLionel Messi (5')Lionel Messi (39')David Villa (55')Jordi Alba (90') sawa na aggregate: 4-2


Next Post Previous Post
Bukobawadau