Bukobawadau

BUKOBA YETU HII LEO

 Camera yetu mjini bukoba hii leo, hali ya mawingi na mvua za hapa na pale zimeendelea kunyesha.
Hali ilivyo mitaa ya miembeni madukani eneo la kiwanja cha CCM.

 Kitaa maarufu cha MTK kuanzia kwa Banyenza, mgeni yeyote akiingia mjini hapa bila kufika pande hizi hatudhani.!


 Old Kashai road kuelekea  miembeni kwa mbali  yanaonekana majengo ya shule ya msingi Bilele.

 Shughuli ya usafi inaendelea vyema chini ya Manispaa ya Mji Bkoba.
 Nje ya maduka yaliyo lizunguka Siko Kuu mjini hapa  anaonekana mjasiliamali Bi Evelyn akichecheck na Camera yetu.

Wadau wakikabilia na hekaheka za hapa na pale  ndani ya manispaa ya Mji.
 Stend kuu ya magari yanayo elekea Bugabo,Nyakato na maeneo ya Jirani
Barabara ya kashozi.
 Kitu cha Rwabizi Plaza

Kijana Silas Omollo, kama alivyokutwa na Camera yetu akiwa amechill pande za mchangani, pembeni ni Mdau Mwesi Kahwa na OMG Victor Kahwa.
 Wadau wakishow love na mwanalibeneke.






Next Post Previous Post
Bukobawadau