FILAMU YA MWISHO KUCHEZWA NA KANUMBA KUINGIA SOKONI MWEZI UJAO
Filamu
ya mwisho kuchezwa na marehemu Steven Kanumba LOVE & POWER itaingia
sokoni tarehe 12 mwezi April mwaka huu. Pia marehemu Sharo milionea
amecheza katika filamu hiyo. The lead actress is Irine Paul na Patcho
Mwamba pia is in the movie. kaa tayari kwa ajili ya kujipatia copy
original.
Filamu nyingine kali iliyopo mtaani ni BAAMED ambayowameshiriki mastaa kama Nice Mohamed, Irine Uwoya, Shilole, Khadija Kopa chini ya DIRECTOR: Ismail Mkungo
Filamu nyingine kali iliyopo mtaani ni BAAMED ambayowameshiriki mastaa kama Nice Mohamed, Irine Uwoya, Shilole, Khadija Kopa chini ya DIRECTOR: Ismail Mkungo