Bukobawadau

HABARI KUTOKA BBC; Harakati za wanajeshi kujaribu kuwaokoa raia wa kigeni waliozuiliwa mateka na wapiganaji katika kiwanda kimoja cha kutengeneza Gesi nchini Algeria zimesababisha vifo raia 35 wa kigeni waliokuwa wamezuiliwa mateka na watekaji nyara 15 waliuawa wakati wa makabiliano ya kutaka kuwaokoa raia hao wa kigeni.

Next Post Previous Post
Bukobawadau