HAPA NA PALE NA CAMERA YETU MJINI BUKOBA
Katikati ya mji wa bukuba maeneo ya stend kuu ya mabasi,Mzunguko uko hivi
Barabara ya tupendane, muonekano wa duka la marehemu Gulam Jaffer maarufu kama (nyegera waitu)
Camera yetu inakutana na wadau ndani ya duka la Najim auto Spare.
Cellular Center au kwa Nyerere wao ni wauzaji wa simu aina mbalimbali.
Mdau Abbas aka teketeke akiwajibika dukani kwake
Vile Dogo Abbas muuzaji wa vifaa mbalimbali vya magari akicheck na Camera yetu.
Ndani wa duka la wauzaji na wasambaji wa vinywaji vikali(Konyagi house)waliopo mtaa wa tupendane mkabala na bank ya CRDB.
Camera yetu inakutana na Mdau Prosper pichani.
Si kitu cha kawaida kupata picha ya Mdau Chuchu (kushoto)kama alivyokutwa kibarazani akibadilishana mawazo na Mdau Ndg Nuru pichani kulia.