KIJIJINI IBURA MWEMAGE ASKOFU KILAINI AONGOZA SHUGHULI YA MAZISHI YA MAREHEMU CLEMENTINE RUTABANZIBWA
Baba Askofu Kilaini akinyunyuzia maji ya baraka kwenye jeneza
Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Bukoba Mh. Mama Pangani na wa pili ni Mama Anna KajumuloTibaijuka, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi |
Picha ya Marehemu Ma Clementina Rutabanzibwa, Mama Mzazi wa Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mdau Patrick Rutabanzibwa
Shughuli ya mazishi ikiwa inaendelea.
Wadau mbalimbali wakishiriki kuweka udongo kaburini.
Mama Anna Tibaijuka
Heshima ya kuweka shada la maua
Prof. Anna Tibaijuka akitoa salaam za ramburambi kwa niaba ya Wizara.
BUKOBAWADAU BLOG Tunatoa pole kwa familia ya Marehemu Clementine Rutabanzibwa, ndugu, jamaa, na marafiki .
Mungu alitoa, sasa ametwaa!!
Mungu alitoa, sasa ametwaa!!