Bukobawadau

KENYA ;OfficalTally #Uhuru 445,810 #Raila 332,053 #Ballot2013 UHURU 57% RAILA 40 IKIWA NI VITUO 18 KATI YA 291

MPAKA SASA SAA 2 USIKU HAYA NDIYO YALIYOTUFUKIA NA BADO ZINAJUMLISHWA
KISUMU EAST; Raila                   44,956                         Uhuru              374 
UNGUJA constituency: RAILA     31,600                          Uhuru             116
NUHORONI; Raila                      45, 919                          Uhuru          1,286
TETU: Raila-                                     339                          Uhuru        36,378
NDIA; Raila                                       621                          Uhuru        45,807
 KAUNTI ya LAIKIPIA:RAILA     19,390                          Uhuru     132,457
 KAUNTI ya KISII:Raila              235,934                         Uhuru        95,006
MWATATE; Raila                           19,816                         Uhuru       1,888
 Rongo constituency: Odinga          33,728                         Uhuru           103

Source; IEBC provisional results       2013
Wakati hayo yakiendelea Tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini Kenya imekiri kuwa kulikuwa na hitilafu chungu nzima za kimitambo, katika kutoa matangazo ya matokeo ya kura za urais kutoka kwa vituo vya kupigia kura kote nchini.
Afisaa mkuu mtendaji wa tume hiyo,James Oswago alielezea kuwa hitilafu hiyo ilisababishwa na kiasi kikubwa cha matokeo yaliyokuwa yanapeperushwa moja kwa moja kutoka kwa vituo vya kupigia kura kwa sababu ya ukosefu wa nafasi ya kutosha kwenye mitambo yake.

Akihutubia waandishi wa habari katika ukumbi wa Bomas ambako matokeo ya urais yanatarajiwa kutangazwa, Bwana oswago alisema kuwa tume hiyo iliweza kurekebisha mitambo yake.

Pia aliongeza kuwa maajenti wa wagombea wote wakuu wawili walifahamishwa kuhusu hutilafu hiyo.
Kugoma kwa muda kwa mitambo ya kupeperusha matokeo, ilisababisha hali ya wasiwasi, baada ya IEBC kusitisha kupeperusha matangazo kwa masaa kadhaa.

 BUKOBAWADAU NA TIMU ZIMA IEBC HOUSE (NAIROBI) TUNAREPORT.
Next Post Previous Post
Bukobawadau