Bukobawadau

MATUKIO YA KUFUNGA MAFUNZO YA JKT KWA VIONGOZI

Wa kwanza kushoto ni Mbunge wa Kinondoni Idd Azani pamoja na Mbunge wa  Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe,wakihitimu mafunzo ya JKT.
Wakiwa kwenye paredi ya kumaliza mafunzo ya JKT.

 Mh. Zitto kabwe Mbunge wa Kigoma Kaskazini, akiapa  wakati wa kumaliza mafunzo ya Jkt.
Mbunge wa BiharamuLo Dk Athanas Mbassa akiapa wakati wa kumaliza mafunzo ya JKT
 Amiri Jeshi Mkuu,Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi cheti cha kuhitimu mafunzo ya muda mfupi kwa viongozi mbunge wa viti maalum Ester Bulaya leo katika kambi ya RUVU JKT.Rais Kikwete amefunga rasmi mafunzi hayo leo yaliyofanyika kwa wiki tatu

 Wabunge Halima Mdee na Ester Bulaya pamoja na wenzao wakila kiapo wakati wa kuhitimu mafunzo ya muda mfupi yaliyofanyika katika kambi ya jeshi la Kujenga Taifa Ruvu JKT huko kibaha Mkoani Pwani
 Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe, akipokea cheti cha kuhitimu mafunzo ya muda mfupi kwa viongozi kutoka kwa kaimu Mkuu wa Mkoa wa Tanga Muhindo Rweyemamu wakati wakimaliza mafunzo ya JKT kwa siku ya jana.
Picha kwa hisani ya Michuzi Blog.
Next Post Previous Post
Bukobawadau