MCHAKATO UCHAGUZI TFF KURUDIWA
Dar es Salaam.
Serikali imelitaka Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kuitisha Mkutano
Mkuu wa marekebisho ya katiba kabla ya Aprili 15, na baada ya hapo
kuitisha pia Mkutano wa Uchaguzi kabla ya Mei 25 mwaka huu.
Uamuzi huo wa Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo ulifikiwa jana katika kikao cha pamoja kati ya waziri mwenye dhamana ya kusimamia michezo, Fenella Mukangara na uongozi wa juu wa TFF.