MSAADA TUTANI ;Yamenikuta Mama mkwe anataka nifanye nae mapenzi
Mimi ni kijana umri wangu miaka 40. Kazi yangu mwalimu na nina mke wa ndoa ambaye nimeishi naye kwa muda wa miaka 7 sasa.
Mpaka sasa hatujapata mtoto, mwezi uliopita ilibidi tushauriane na mke wangu kwenda Hospitali kwa ajili ya uchunguzi ili kujua tatizo na namna ya kulitatua.
Baada ya vipimo ilionekana mimi na mke wangu ni wazima kabisa na hatuna matatizo ya uzazi kama nilivyohisi awali kwani familia yangu imekuwa ikisema mke wangu hana uzazi na upande wa mke wangu wanadai mimi sina mbegu za uzazi.
Ilibidi mimi niwajulishe hali halisi wazazi wangu na mke wangu nikamwambia awaeleze wazazi wake ili maneno maneno yaishe bali tusubiri neema ya Mungu kwani yeye ndiye muweza.
Baada ya kuwajulisha pande zote mbili, mama mkwe wangu aliniita niende kwake mimi tu ana mazungumzo nami ya faragha kuhusiana na tatizo letu.
Juzi nilienda mida ya mchana nikapikiwa chakula kizuri na nikaambiwa na shemeji yangu kuwa mama ataongea nami usiku akiwa ametulia.
Alichoniambia ni hiki ''Ili ndoa yenu ipate mtoto ni Lazima nikutengenezee dawa na ufanye MAPENZI na mimi kwa muda wa siku mbili, mwanangu sikulazimishi ni uamuzi wako mwenyewe. Ukiacha hutazaa milele. Nenda ukafikirie na mkeo usimwambie haya''
Sina hali mwenzenu, Naomba msaada wa Mawazo......