Bukobawadau

SALIM HEMED KHAMIS MBUNGE WA CHAMBANI (CUF) AFARIKI DUNIA

Aliyekuwa mbunge wa Chambani visiwani Zanzibar, Mheshimiwa Salim Hemed Khamis amefariki dunia. Taarifa zisizo rasimi ni kuwa amefariki baada ya kuanguka. Marehemu amefariki na umri wa miaka 62.

Salamu za pole kwa wana CUF, Wana Chambani na wafiwa wote pamoja na ndugu na jamaa.

Mungu amlaze mahala pema peponi.
Next Post Previous Post
Bukobawadau