WATOTO ZAIDI KUANDIKISHWA S/MSINGI KYAKA
Mkuu
wa Wilaya ya Misenyi Kanali Mstaafu Issa Njiku akizindua rasmi vyumba
viwili vya madarasa katika shule ya Msingi Kyaka vilivyojengwa kwa
msaada wa Vodacom Foundation wilayani Misenyi Mkoa wa Kagera. Vyumba
hivyo vimewekewa pia jumla ya madawati tisini ikiwa ni sehemu ya Kampuni
ya Vodacom kuchangia maendeleo ya elimu nchini.
Mkuu wa Wilaya ya Misenyi Kanali Mstaafu Issa Njiku akifurahia jambo na wanafunzi wa shule ya Msingi Kyaka Wilayani Misenyi mkoa wa Kagera muda mfupi baada ya mkuu huyo wa wilaya kuzindua rasmi chumba hicho cha darasa kikiwa na maadwati yake kati ya vyumba viwili vilivyojengwa na Vodacom Foundation kuchangia maendeleo ya elimu Wilayani Misenyi. Wa pili kushoto ni Mkuu wa Vodacom Foundation Yessaya Mwakifulefule. Wengine ni Meneja Usimamizi Idara ya Mawasiliano na Mahusiano ya Vodacom Tanzania,Lilian Kisamba na Meneja wa kampuni hiyo Bukoba Michael Bigambo.
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Kyaka iliyopo Wilayani Misenyi Mkoani Kagera wakiwa katika tabasamu la matumaini ya kusoma katika mazingira yaliyoboreshwa zaidi na Vodacom Foundation kwa kuijengea shule hiyo vyumba viwili vya madarasa na kuviwekea jumla ya madawati tisini. Msaada huo ulikabidhiwa kwa uongozi wa shule na Mkuu wa Wilaya ya Misenyi Kanali Mstaafu Issa Njiku(Hayupo Pichani) katika hafla iliyohudhuriwa pia na maofisa wa Vodacom Foundation