BK TO DAR -UZINDUZI WA ALBUM ZA KAPOTIVE STAR SINGERS BUKOBA
Usikose uzinduzi wa album 2,Vol:
1-YESU NI MWEMA na Vol: 5 -NAKUSHUKURU MUNGU, tar. 5/5/2013, katika
ukumbi wa Ubungo Plaza. Wakisindikizwa na waimbaji mahiri wa nyimbo za dini
kama:- Kwaya ya Mt. Kizito- Makubuli, Kwaya ya AIC Chang'ombe, Upendo
Nkone, KAKAU Band toka Bukoba, na Emmanuel Mugaya "Masanja
Mkandamizaji". Kiingilio kitakuwa kama ifuatavyo: Single size ticket
(mtu mmoja) -15,000, Family size ticket (Watu 4) -50,000, Special seats
(Watu 5) 100,000, Watoto 5,000. Karibuni sana tumtukuze Mungu kwa
nyimbo.