Bukobawadau

BUNGENI LEO;Machache kutoka Ripoti ya CAG (Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali):

- Bunge lilipitisha vifungu vya fedha za maendeleo vyenye jumla ya Sh595,064,422,505 katika halmashauri 113, lakini fedha zilizopokewa ni Sh345,568,067,477 sawa na asilimia 42 tu, hivyo kufanya upungufu wa Sh249,496,355,027!
- Mfuko wa Pensheni kwa Wafanyakazi wa Serikali Kuu, una hali mbaya, kwani hadi sasa una hasara ya sh trilioni 6.4, hivyo kuwa kwenye hatari ya kufa!
- Kuanzia mwaka ujao wa fedha, ofisi ya CAG itakagua misamaha yote ya kodi inayotolewa na serikali na kuwatangaza hadharani makampuni, mashirika, wafanyabiashara na watu binafsi wanaopata misamaha ya kodi
.
Next Post Previous Post
Bukobawadau