Bukobawadau

Deni la Taifa letu linazidi kupaa. Kwa mujibu wa takwimu za hizi karibuni, Deni hili tayari limeshavuka dollar za kimarekani Billion kumi na tano, sawa na takribani shillingi trilioni ishirini na tatu za Kitanzania. Moja ya Vigezo muhimu vya kupima utendaji wa serikali yoyote ile duniani ni suala zima la nidhamu ya katika mfumo wake wa mapato na matumizi ya fedha za umma (Fiscal Discipline). Ukiachilia mbali ‘fiscal discipline’, vigezo vingine muhimu ni Ajira kwa raia wake, mfumo wake wa Elimu, mfumo wa Afya, Ufanisi Katika Mhimili wa Mahakama (Judicial Efficiency) n.k

Next Post Previous Post
Bukobawadau