HABARI MATUKIO MBALIMBALI NA WADAU
Wanaonekana Wadau wakicheck na Camera yetu.kushoto ni Irene Mzanila na mwenzie .
Bi Jeanifer Murungi Kichwabuta
Wadau katika pitapita zao uko Houston Texas kutoka kushoto ni Bi Jeanifer Murungi Kichwabuta, Mwanae Seba Sadath Badru na Mama yake Mzazi Ma Yudes.
Bi Habibah Mkelo na wanae pichani.
Wana wakishow love kwa pamoja.
OMG Fuady na Mdau Yahya wakicheck na Camera yetu.
Hivi ni vile tu wadau wanavyo endelea kufanya yao.
Mwemezi Michael Muhazi na Mdau Sitta pichani kulia.
Kulia ni Mdau Sadru katika picha ya pamoja na Ndg Mwemezi.
Mdau Abdulavit Katto akiwa katulia masikani yake na Mkewe.
Mdau Tinka akishow love na kizazi cha Kagutta.
Kutoka maktaba ya Bukobawadau, ikiwa ni muendelezo wa mambo ya Kimila.
Mwanadada Olvia Kaiza katika pozi.
Mdau Eddy Banyenza.
Ni habari matukio na wadau kupitia Mtandao mama wa Bukobawadau Blog