Bukobawadau

HAPA NA PALE NA CAMERA YETU MTAANI

Katikati ya viunga vya Mji wa Bukoba Camera yetu inavutiwa na Wawili hawa pichani ni Mdau Yusuph Wastara na Bi Sarah  Vecera.
 Mdau Yusuph na Sarah Vecera ambaye ni Mgeni wake kutoka nchini Ujerumani wakishow love.
Tukiwa bado mitaa hii ya kati  tunashuhudia chemba  ikiwa imaearibika na kuelekeza maji machafu katika mtaro usio mtara uliopo barabarani.
  Sehemu ya maji machafu yanayotoka ndani ya Nyumba ya Msajili  iliyopo mkabala na soko kuu, anamoishi  mmoja wa wafanyabiashara maarufu  mjini hapa jina kapuni.
 Wapita njia wakishangaa hali hii.
 Mdau Kakengi pichani
Tukiangaza bado mitaa hii ya kati , Camera yetu uso kwa uso na Wadau pichani wakiwa katika majadiliano ya mpira, Kushoto ni Mdau Baba Anas na Mzazi kwetu Haji Sadick.

Next Post Previous Post
Bukobawadau