Bukobawadau

HONGERA KWA KUFUNGA NDOA MDAU MUBARAK MIKIDAD NA BI NEEMA RAMADHAN.

Hongera sana  Mdau Mubarak Mikidad Abdallah na  Bi Neema Ramadhan kwa kutimiza amri ya pili kutoka kwa allha.
 Wadau mbalimbali walivyo tokelezea vyema katika shughuli ya ndoa ya Mdau Mubarak Mikidad
 Hivi ndivyo ilivyokuwa shughuli ya ndoa kama anavyo onekana Bwana Harusi Mubarak na msimamizi/mpambe wake Ndg Mgope.

BUKOBAWADAU BLOG Tunakukaribisha kwenye chama na hongereni sana, Mwenyezi Mungu aibariki ndoa yenu na nyumba yenu. Ndoa ni jambo la kheri na lenye kumpendeza Mungu!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau