Bukobawadau

KAPOTIVE STAR SINGERS BUKOBA KUWASHA MOTO UBUNGO PLAZA

Ni uzinduzi wa album  mbili, zenye mchanganyiko wa nyimbo za kihaya,ZIJULIKANAZO KAMA Vol: 1-YESU NI MWEMA na nyingine ni Vol: 5 -NAKUSHUKURU MUNGU.Ukipata tangazo hili USISITE KUMJULISHA  MWINGINE.
Ni tarehe. 5/5/2013, katika ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar Es Salaam.Katika uzinduzi huu watapambwa na waimbaji mahiri wa nyimbo za dini kama:- 
Kwaya ya Mt. Kizito- Makubuli, Kwaya ya AIC Chang'ombe
Upendo Nkone, KAKAU Band toka Bukoba.
Emmanuel Mugaya "Masanja Mkandamizaji".
Kiingilio kitakuwa kama ifuatavyo: Single size ticket (mtu mmoja) -15,000, Family size ticket (Watu 4) -50,000, Special seats (Watu 5) 100,000, Watoto 5,000
WATU WOTE MNAKARIBISHWA  TUMTUKUZE MUNGU KWA NYIMBO!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau