Mhe Lema akiwatuliza wanachuo Arusha
Mbunge wa Arusha Mjini akiwatuliza wanachuo ambao walitaka kuandamana baada ya mwenzao Henry Kago kuuwawa kinyama. Kwa hatua hizi mkuu wa mkoa wa Arusha ndio anasema Mhe Lema anahusika na uchochezi na mauaji haya ni ya kisiasa na yamepangwa ili kujipatia umaarufu.